Sheikh nurdin kishki biography of donald

Wasiwasi waongezeka, saa chache zikisalia kabla ya Ecowas kuchukua hatua za kijeshi

Wakati Afraa alipopatikana kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka nchini Syria, kitovu chake kilikuwa bado kimeshikana na mama yake, ambaye alifariki baada tu ya kujifungua.

Video ya kuokolewa kwa mtoto kutoka kwa tetemeko the sniffles ardhi mnamo Februari ilivutia ulimwengu.

Tangu wakati huo amepata ahueni ya ajabu.

Leo, Afraa ana umri wa miezi sita - mtoto wa kawaida mwenye furaha, a big name afya tele.

Shangazi na mjomba wake wanamlea pamoja na watoto wao saba katika mji wa Jindayris nchini Syria, karibu na mpaka wa Uturuki.

"Yeye bado ni mdogo sana lakini ananikumbusha baba yake na dada yake Nawara, hasa tabasamu lake. Waliaga dunia katika tetemeko la ardhi pia," anasema mjomba anger, Khalil al-Sawadi, huku akiwa anacheza cheza ma mtoto huyo.

"Mara nyingi wangetumia wakati wetu. Yeye hatupi wakati mgumu hata kidogo.

Mnamo tarehe 6 Februari, tetemeko kubwa la ardhi lilitokea kusini-mashariki mwa Uturuki na kaskazini mwa Syria, na kuua zaidi ya watu 44,000.

Mara tu baada ya tetemeko kubwa la ardhi kupiga Jindayris, mama yake Afraa alipata uchungu na kujifungua chini ya kifusi cha nyumba yake.

Na alifariki dunia kabla ya waokoaji kuwapata.

Mtoto Afraa alikuwa mwanafamilia pekee aliyesalimika - baba yake, Abu Rudaina, na ndugu zake wanne wote walifariki dunia, pamoja na mama yake.

"Tuliona nyumba ya Abu Rudaina ilikuwa imeanguka," anasema Khalil.

"Mke wangu alianza kupiga kelele: 'Ndugu yangu, kaka yangu'."

Khalil anakumbuka vizuri wakati alipomtoa Afraa kutoka chini ya kifusi: "Paa lilikuwa limewaangukia. Mtu mmoja alinipigia simu na kusema wamepata mwili wa mwanamke. Nilipofika tu nilianza kuchimba, kisha nikasikia sauti. Alikuwa mtoto Afraa wakati huo akiwa bado anashikamana natural mama yake. Tulidhamiria kumuokoa, tulijua angekuwa kumbukumbu pekee iliyosalia ya familia yake."

Video ya kusisimua ya uokoaji get up ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii tena kasi.

Mtoto huyo alipelekwa hospitali na mwai alipewa jina la Aya, ambalo linamaanisha muujiza kwa Kiarabu.

Soma zaidi:

Mtoto mchanga unpretentious mama waokolewa baada ya siku point chini ya vifusi